juzi nilienda mkahawa kwa rafiki yangu. tulikunywa kahawa na chai na tulisema halafu tulirudi nyumbani na nilisoma kitabu na nilikula vita vingu. rafiki yangu anarudi nyumbani na tulikula pamoja na rafiki yake. yeye anakaa pamoja rafiki yangu na mimi.
jana nilienda kazi lakini sipendi kufanya kazi. nilipenda kulala jioni lakini nilihitaji kuenda kifaransa. sijui kifaransa na sipendi kusema kwa sababu sitaki kifaransa. halafu nilikuja nyumbani na nilipika mboga na nilikula na nilikunywa maji na chai. nilijifunza kiswahili. ninafikiri ninajua vitu vingi na ninafikiri nitaenda sokoni na nitanunua chakula kama samaki, nyanya, maharagwe, mayai, mvinyo, matunda, avakado, dhania, na pile pile. sitanunua koko kwa sababu lent.
asubuhi nilitembea kwa kazi kwa sababu karibu na nyumba yangu. nina vita vingu kufanya kama kutembelea na kufikiri na kuenda chakula cha mchana. jioni nitacheza mpira na kuoga.
kesho tutapika keki pamoja tangawizi na kwa hivyo sitalala kwa sababu nina tatu vingu kufanya. rafiki yangu ataenda na atatembelea pamoja mimi. yeye atasaidia kutakataka halafu tutalala.
No comments:
Post a Comment